Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 489
Kama tujuavyo kua walio wengi walioendelea na matajiri na watu maarufu mara nyingine huwatumia majini kuwasaidia kufanya kazi ambazo ni ngumu na za kushindikana . watabiri huwatumia jamii ya majini waitwao IPOS kufanya utabiri Na maprofessor waliowengi huwatumia majini aina ya RONOVE kujiongezea elimu na utambuzi wa haraka na wachawi huwatumia majini aina ya OZGIN kuwapa vichaa watu.
Kabla ya kutaka kudhamiria kufanya kazi na jinni yakupasa kujua njia za kumwita jinni unaemtaka
Mambo kabla ya kumuita jinni na kuongea nae.
1 kutambua kazi ambayo unataka jinni akusaidie
2 kutambua ni jamii gani ya majini wanaweza kufanya hiyo kazi
3 kujua kwa jina aina ya majini wanaoweza kufanya kazi hiyo
4 kujua nembo yake na ujue kuichora
5 kutambua muda ambao jinni unaweza kuongea nae
6 kufahamu manukato ambayo jinni unaweza kumwitia
Baaada ya kujua mazingatio hayo sasa nikufahamishe pia namna ya kumpokea jinni na kuongea nae
Jinni anaweza kuja kwa njia tofauti inategemea na ujasiri ulionao mfano anaweza kuja kwenye ndogo ,anaweza kuja moja kwa moja mbele yako, anaweza kuongea na ww ndani ya mawazo yako pia anaweza kuongea na ww ktk kioo au unaweza kuongea nae kwa kupitia mtu kwa kupandisha mashetani yani mtu anaweza kupandisha ukaongea nae.
Utakaa gizani katika sehemu ya faragha utafumba macho ya kuna maneno na aina ya jinni utasema kwa kurudiarudia ukivuta hisia ya nembo ya jini umtakae wkati huo nembo hiyo umeiweka mbele yako .
Baada ya kuona dalili za kuwasilaina nae nakusalimiana, asilimia kubwa ya majini wote ni marafiki kwa binaadam hivyo mnaweza kucheza ,kutaniana kufanya mapenzi kama binaadamu .
baada ya hapo utampa kazi yako na mtakubaliana utamfanyia nini baada ya kazi yako ni jinsi mtakavyokubaliana.
Tahadhari
1 usiahidi kitu ambacho huwezi kumlipa baada ya kukufanyia kazi yako
2 usijaribu kumfanyia dharau
3 usije kukiuka masharti ambayo mmekubaliana