Jinsi ya kurudisha contacts, sms, images, audios, videos n.k ulizofuta kwenye simu

Mkuu kuna flash yangu ina mafile lakini hayasomi shida itakuwa nini
Hayo mafile hayaonekani? hayawezi hamishika? tafuta application inaitwa ULTRA ISO itakusaidia yapata!!...ukishindwa itumia nitafute!..
 
Kuna document nilihamishia kwenye memory lkn memory n mbov ikagoma kufunguka na inadai kuformatiwa.
IPI njia nzur ya kuzipata?
 
Jumabakari@yahoo.com
 
kweny mahitaj hapo sijaelew vzur simu iliyopotea au sim mpya? Sababu sim umeshapoteza utaipataj sasa
 
Yanatokea Maandishi Ya Ajabu-Ajabu?
No hakuna maandishi ya ajabu hata majina ya Mafile yapo vile vile kama nilivoyaandika ila tu content hazipo ukifungua tu inakuandikia "file empty".... Sasa hapo sijui tatizo ni nini na wakati inaonesha kuwa kuna Space imetumika ya hayo mafile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…