Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 Jul 9, 2017 #1 Habari wakuu.. Naomba kujua km inawezekana kurudia version ya simu yako kwa mfano kutoka version ya Marshmallow kurudia Lollipop baada ya ku-update simu. Asante. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Habari wakuu.. Naomba kujua km inawezekana kurudia version ya simu yako kwa mfano kutoka version ya Marshmallow kurudia Lollipop baada ya ku-update simu. Asante. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,385 Jul 9, 2017 #2 inawezekana ila jiandae na matatizo lukuki, inaweza poteza data (modem), au kulita tatizo jengine kama hutakuwa makini.
inawezekana ila jiandae na matatizo lukuki, inaweza poteza data (modem), au kulita tatizo jengine kama hutakuwa makini.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,602 Jul 9, 2017 #3 Ngoja wahusika waje mkuu usiwaze
kancarl JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 1,365 Reaction score 837 Jul 9, 2017 #4 Mkuuu kurud nyma n kukata tamaaaa
G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 597 Reaction score 642 Jul 10, 2017 #5 kwa nn urudi nyuma kuliko kusonga mbele? Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 Jul 10, 2017 Thread starter #6 gibasisi said: kwa nn urudi nyuma kuliko kusonga mbele? Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nilitaka kufahamu changamoto na faida zake..na pengine km kuna mtu alikuwa na wazo km hili nikawa nimemsaidia kufahamu pia. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
gibasisi said: kwa nn urudi nyuma kuliko kusonga mbele? Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nilitaka kufahamu changamoto na faida zake..na pengine km kuna mtu alikuwa na wazo km hili nikawa nimemsaidia kufahamu pia. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app