Jinsi ya kuroot simu za Android

Tafuta ES Explorer. Ingia device>system>app then tafuta kingroot kisha click utaletewa options kadhaa we chagua uninstall.
Done
 
Nikienda katika Android version nikibonyeza inatokea hivi ni nini hii lollipop au katkit au...
 
ASANTE NDUGU WACHA NLIFANYIE KAZ MM NATUMIA HUAWEI 520CJYI ROOTER IPI NZURI
 
Mm Nimesha root simu zaidi ya 10 lakini hazijawahi kupoteza imei pia hii mada ni ya mda mrefu kabla Android 6.0 6.1 haijatokea
Mkuu nimefuata process zote lakini Root chaker imekataa kuonyesha kama simu hailorooted nifanyaje ???
 
Msaada jinsi ya kuroot techno c7 nitumie app gani ambayo itakuwa no sasa kwa kuroot
 
Mm jimefanikiwa kuroot cmu yngu swali ni je ninaruhusiwa ku unstall application niliotumia kuroot cmu yngu mi nimetumia kingroot na nikiunstall haitaleta matatizo yyte
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…