wakuu nina modem ya huawei e153 ya tigo ambayo nimei downgrade....... sasa spidi yake siyo kama ilivyokuwa awali hivyo basi vipi ninaweza ku upgrade modem yangu?

itupe then nenda kanunue huawei e303h ya tigo ufurahie internet.
siku hizi watu tupo kwenye 14.4 Mbps so hukosi 5-9Mbps wakati hiyo e153 ikifika 3.6Mbps haiendelei na safari zaidi ya hapo hebu tupa kulee

VIMODEM VYA 3.6 Mbps ni vyamwanzo mwanzo kabisa, zikaja za 7.2 Mbps na sasa 14.4Mbps wakati baadhi ya smart phone zina 21 hadi 42Mbps.
Kilio chetu wengu ni kupata speed zaid ya kudownload na kuupload,tunashukuru wenye kutoa huduma wanaanza kutuelewa hasa hawa tigo kwa hizi modem zao mpya.
Mitandao kama airtel wanaachia hadi download speed ya 12Mbps tena kwa ile bundle ya 900 tu unazikamua data bundle za 1.2gb kiulainii sasa hiyo modem yako ya e153 inakulimiti speed raha iko wapi wenzio wanasonga we ndokwanza unarudi kinyume nyume ila kama upo kijiji kisicho na 3.5G sikulaumu