Ngoja nimsaidie kujibuTatizo rugha, mboga ya barafu najulia wapi Mimi, na hakuna hata mbadala kwa mazingira kwamba ukikosa kwamfano thomu au kidonge Cha supu uweke nini?
Na huo mchele wa basmati ni kitu gani?
Sawa sawa unaweza kuongezea kadri upendavyoMe huo mchele wa basmart siupendi siwezi tumia huu wa kawaida maana ni mtamu na una harufu nzuri.
Halafu kuhusu hivyo vipimo me siwezi kushiba๐. Nitaongeza kidogo hata ifike kilo ili nibakiwe na kiporo kwa ajili ya asubuhi.
โNgoja nimsaidie kujibu
Thomu ni kitunguu swaumu
Basmat ni mchele maalum kwa ajili ya kupikia biriyan
Hapo kwenye mboga za barafu sijui alimaanisha nini ila unaweza tumia za kawaida... njegere, carrot unakata shape ya vibox, spring beans hizi zipo zinauzwa masokoni na mahindi yale mabichi.
Na kidonge cha supu sifahamu ila unatumia supu ya huyo kuku uliyemchemsha.
Nimeelezea jinsi ambavyo hua napika japo nilikua sijui kama ndo wali wa kichina.
Sasa je mbona nimeelewaNgoja nimsaidie kujibu
Thomu ni kitunguu swaumu
Basmat ni mchele maalum kwa ajili ya kupikia biriyan
Hapo kwenye mboga za barafu sijui alimaanisha nini ila unaweza tumia za kawaida... njegere, carrot unakata shape ya vibox, spring beans hizi zipo zinauzwa masokoni na mahindi yale mabichi.
Na kidonge cha supu sifahamu ila unatumia supu ya huyo kuku uliyemchemsha.
Nimeelezea jinsi ambavyo hua napika japo nilikua sijui kama ndo wali wa kichina.
Uko vizuri, kumbe unajua kuupika. Nitakuja unifundishe eti?Ngoja nimsaidie kujibu
Thomu ni kitunguu swaumu
Basmat ni mchele maalum kwa ajili ya kupikia biriyan
Hapo kwenye mboga za barafu sijui alimaanisha nini ila unaweza tumia za kawaida... njegere, carrot unakata shape ya vibox, spring beans hizi zipo zinauzwa masokoni na mahindi yale mabichi.
Na kidonge cha supu sifahamu ila unatumia supu ya huyo kuku uliyemchemsha.
Nimeelezea jinsi ambavyo hua napika japo nilikua sijui kama ndo wali wa kichina.
Karibu sana... Wali wa aina moja unachosha hasa kwa sisi wapenda wali. So inabidi kuongeza manjonjo ili usiukinaiUko vizuri, kumbe unajua kuupika. Nitakuja unifundishe eti?
Napenda sana wali kiukweli.Karibu sana... Wali wa aina moja unachosha hasa kwa sisi wapenda wali. So inabidi kuongeza manjonjo ili usiukinai
๐๐usikubali kufeli tafuta angalau siku 1Ni wali mzuri sanaa, mwaka 2018 nilibahatika kula pale "Al baruch" mjini morogoro kwa upishi ule ikisindikizwa na rosti la firigisi natamani kurudia tena, ila kwa upishi wa nyumbani na hayo mahitaji tu tayari nishafeli.
Basi pika huu simpo:Napenda sana wali kiukweli.
Njegere pia na hoho si naweza changanya. Ila njegere lazima niwe nimechemsha kabla? Baada ya kuukanga siwezi kuuhamishia kwenye rice cooker?Basi pika huu simpo:
Mahitaji ni mchele
Vitunguu + carrot ikwangue
Then unakaanga vitunguu na carrot vikiikaangika vizuri weka mchele nao kaanga hadi mchele ukolee carrot then weka maji ya moto kiasi ambacho utaona yataivisha wali. Pika kwa moto wa wastan hadi wali uive
Usisahau kuweka chumvi
๐๐usikubali kufeli tafuta angalau siku 1
Yes unaweza changanya njegere zilizochemshwa.Njegere pia na hoho si naweza changanya. Ila njegere lazima niwe nimechemsha kabla?
Baada ya kuukanga siwezi kuuhamishia kwenye rice cooker?
๐Sina jiko la mkaa. Halafu kwa gesi huwa napika lakini naona hauivi vizuri.Yes unaweza changanya njegere zilizochemshwa.
Jikoni unaogopa kuunguza ๐๐
Unaweza hamishia mradi uweke tu kipimo cha maji sahihi
Hahaa ujaribu hvyo, nasubir mrejesho๐Sina jiko la mkaa. Halafu kwa gesi huwa napika lakini naona hauivi vizuri.
Nitakupa mrejesho.