Huwa unapikaje samaki wa nazi? Nyanya, vitunguu, hoho na karoti unavipikaje vipi? Au unavichemsha?Mapishi ya kupika Kwa kutumia mafuta na nazi Kwa wakati mmoja naona Kama haiwi Poa ! Huwa naona Chakula au mboga inakuwa nzuri zaidi Kwa kutumia Kimoja tu Yani Kama ni nazi basi mafuta yasitumike hata tone!
Kupika vyakula ambavyo havina virutubisho ndo ovyo!![emoji30][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] hovyooo
Na usinywe soda kama kwako kila kitu ni virutubisho !na mkitambi huu sitaki virutubisho bali viburudisho !Hivi hapo mchicha bado unakuwa na virutubisho vinavyotakiwa? Au tunaangalia ladha tu!
Ndio sinywi.Na usinywe soda kama kwako kila kitu ni virutubisho !na mkitambi huu sitaki virutubisho bali viburudisho !
Ngoja weekend niingie jikoni, hapa ugali lazimaMahitaji
1. utumbo 1kg
2. Mchicha fungu 2
3. kitunguu 1
4. karoti 1
5. pilipili hoho 1
6. currypowder
7. chumvi
8. Tangawizi
9. Limao
10. Nazi / karanga
MAANDALIZI
1. Bandika utumbo wako jikoni weka limao, tangawizi na chumvi.
2. Ukishaiva ipua, weka sufuria jikoni weka mafuta...yakipata moto weka kitunguu, hoho na karoti...kitunguu kikianza kupata brown weka curry powder
3. Tumbukiza mchicha wako ambao utakua umeukatakata kama yanavyokatwa majani ya maboga, acha uchemke kwa dakika 5 - 10 tia utumbo wako, utaweka na supu ya utumbo kidogo ili mboga ijichanganye vizuri.
4. Ikichemka utamalizia kwa kuweka karanga iliyosagwa au kama utapendelea kuweka nazi haina shida, unaeza kulia wal, ugali au ndizi za kukaanga !!
Huwa unapikaje samaki wa nazi? Nyanya, vitunguu, hoho na karoti unavipikaje vipi? Au unavichemsha?
Ladha tuHivi hapo mchicha bado unakuwa na virutubisho vinavyotakiwa? Au tunaangalia ladha tu!
11. Panado vidonge vinne(4).Mahitaji