KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,081
- Thread starter
- #21
Kuimba ni kupokezana, Asante kwa kunionhezea mambinuUngeweka na tui kdg maana dengu za Nazi huwa tam sana kama ulivyo wali wa nazi
Kuimba ni kupokezana, Asante kwa kunionhezea mambinuUngeweka na tui kdg maana dengu za Nazi huwa tam sana kama ulivyo wali wa nazi
Msisahau konyagiTutamfuata huko huko Kigamboni kwake tukamlishe. Nina uhakika Evelyn Salt atatupenda
Hiyo ni muhimu sana. Tena tunaomba itungiwe ubeti wake kwenye wimbo wa taifa,ule ubeti Mungu wabariki viongozi wa Africa tunaufuta, tunaweka KonyagiMsisahau konyagi
Hizi zinaonekana rahisi kupika
Ndio rahisi, hivi wali ushajua kuupika madame 🙂Hizi zinaonekana rahisi kupika
Nimeshajua siku zingine napatia siku nyingine sipatiiNdio rahisi, hivi wali ushajua kuupika madame 🙂
haha kumbe ushajua bhana, hio kukosea kawaida.Nimeshajua siku zingine napatia siku nyingine sipatii
UnabahatishaNimeshajua siku zingine napatia siku nyingine sipatii
NajitahidiUnabahatisha
Wewe ni mpishi Bora sana. Nitakualika nyumbani kwanguNajitahidi