Jinsi ya kupika makande

Unaweza weka na Katanga ambazo hujazisaga inakuwa poa pia na ukiunga na Nazi. Pia nilishawahi kula makande nyama nilipokuwa nayo yalikuwa matamu balaa.
 
Ila nimeyamiss
sijayala kalibia mwaka we unaepika eb nikalibishe
 
Hapa ndo tutajua Miss nani anajua kupika...Single mothers jitokezeni tuone maujuzi yenu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…