Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
kumi mkuu utatupunja wengine wewe chukua moja na nusu ili sote tupatemie nikipata kumi pamoja na chai ya maziwa chupa moja nitakushukuru sanaaa. nitaomba dua kwa ajili yako
labda mpishi aunguze ndio tukupe utenge.Yakiiva mi kazi yangu kutenga mezani.
kila la kheri mkuu usitusahau kutukaribisha hata kwa maskharaMuda ukifika nitaanza kujifunza namna ya kuyapika
Hadi huku kwenye mapishi upo?Oooh murua kabisa..shukran mleta mada
Yeah hata mimi nakula mzeeHadi huku kwenye mapishi upo?
hahahaha jibu mubasharaaa...Yeah hata mimi nakula mzee
Ndiondio mkuu Salmah99hahahaha jibu mubasharaaa...
1.PIMA UNGA WA NGANO KIASI UPENDACHO KILO 1-3Msaada namna ya kupika andazi kubwa kabisa na ikaiva ndani vizuri