Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
he he he kabichi hili litakuacha slim tehh:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Wow shukraan wallah hadi raha jf chef pamechangamka kwa kweli recipe nzuri nzuri tutanenepajeeeee lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Cc Nyani Ngabu ndetichia Kim nana
gorgeousmimi samahani kama ntakua nimeingilia upishi wako
Hapo ukiweka na tangawizi ladha inaongezeka alafu ni nzuri sababu kabichi linatia tumbo gesi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wodooo. Kwa ugali hilo. Uwwwiiii.
Pishi la jumamos hili tukijaaliwa. Thanx kwa pishi dear
Wow shukraan wallah hadi raha jf chef pamechangamka kwa kweli recipe nzuri nzuri tutanenepajeeeee lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Cc Nyani Ngabu ndetichia Kim nana
Karibu dia!Mpaka mwaka huu uishe nitakuwa mpishi mzuri. Asante kwa somo.
ukipata na pilipili msosi lazima unoge…karibu dearWodooo. Kwa ugali hilo. Uwwwiiii.
Pishi la jumamos hili tukijaaliwa. Thanx kwa pishi dear
We farkhina kwa kupika kah ni mkali ungekuwa huna bwana ningetangaza nia wallah
Uwe unanikaribisha ki ukweli jikoni upo vizuri
Wodooo. Kwa ugali hilo. Uwwwiiii.
Pishi la jumamos hili tukijaaliwa. Thanx kwa pishi dear
Karibu dia!
Naomba nije nile
Yah inakuwa yummy!Asante dada, leo nimepata upishi mpya...mimi nimezoea kulipika la nyama ila huwa siweki viazi na njegere, kwa hiyo ntajaribu hili pishi la kuchanganya na viazi na njegere ....naamini utamu wake HAUSEMEKI...Yam yammm yammm...