Shining Light JF-Expert Member Joined Jan 8, 2024 Posts 406 Reaction score 528 Mar 11, 2024 #1 Mahitaji Mayai 2 Unga wa ngano au Bread crumbs Kijiko kimoja cha tangawizi chumvi Mixed spice au Viungo vya Pilau oil simba mbili au cubes Maelezo Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili) Changanya mchanganyiko mpaka utakapo iva kicha weka pembeni Kama umepoa vunjia mayai na breadcrumbs au unga wa ngano Tengeneza kwa size unayotaka kwa kutumia mikono Weka kwa sahani kisha ziache kwa jokofu kwa lisa moja Bandika mafuta yakipata moto punguza moto, kisha anza kuchoma kabab zako mpaka zitakapo badilika rangi ya brownn hivi Weka pembeni tayari kwa kuliwa
Mahitaji Mayai 2 Unga wa ngano au Bread crumbs Kijiko kimoja cha tangawizi chumvi Mixed spice au Viungo vya Pilau oil simba mbili au cubes Maelezo Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili) Changanya mchanganyiko mpaka utakapo iva kicha weka pembeni Kama umepoa vunjia mayai na breadcrumbs au unga wa ngano Tengeneza kwa size unayotaka kwa kutumia mikono Weka kwa sahani kisha ziache kwa jokofu kwa lisa moja Bandika mafuta yakipata moto punguza moto, kisha anza kuchoma kabab zako mpaka zitakapo badilika rangi ya brownn hivi Weka pembeni tayari kwa kuliwa
Adobe PS Member Joined Sep 6, 2024 Posts 50 Reaction score 141 Sep 13, 2024 #2 Shining Light Unaweza kuweka hata picha tafadhali
G Gusa achia twende kwao JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 916 Reaction score 1,030 Apr 17, 2025 #3 Kapicha kakusupport uzi mkuu