Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Nataka niwape dondoo kidogo namna ya kupata unlimited internet ya wiki/mwezi au hata mwaka
www.your-freedom.net
Your Freedom - ACCOUNT
Ingia kwenye website hiyo hapo juu jaza taarifa zako zote kama inavyoelezea,
Kisha nenda playstore download app inayoitwa Your Freedom,ukishadownload usiifungue kwanza,kumbuka kule nyuma kwenye link ya kwanza kuna sehemu uliingiza email yako,sasa ingia moja kwa moja kwenye email yako kama ni yahoo, Gmail au outlook kisha angalia msg iliyotoka your freedom kisha verify acc yako kwa kugonga link iliyomo kwenye email
Sasa rudi funga mailbox yako nenda kwenye app uliyoidownload playstore kisha ifungue sasa,itakuuliza kama unataka kujirejister utakataa unaenda kwenye login kisha unalogin kwa jina na password yako,Kumbuka kama username ulianza kwa herufi kubwa wakati unajisajili kule kwenye link,humu nako andika hivyo hivyo
Kisha app yako itafunguka nenda chini kulia kwenye configure kisha bonyeza utapata menu ndefu
Invia kwenye kipengele cha acc info kisha jaza username na password kisha nenda back bila kupiga ok wala nn,then shuka tena kidogo kwenye connection fungua then nenda hadi kipengele kilichoandikwa connection mode kisha badili kutoka http kwenda *dns*
Kisha rudi back,angalia sasa chini kushoto kuna mahali pameandikwa *Start connection* gonga hapo kisha itaona graph inaanza kwa chini kabisa kinjano flan kinaanza kujaaa ikifika mahali flan itaconect na ili kujua uko connected utaona alama ya [emoji1006] kwa juu kwenye screen yako
Utapata internet ya bure kwa lisaa lizima,kwa usajili wa kwanza,ingawaje haiko fasta sana kama ya kununua,
Kumbuka utatakiwa kuwasha data kawaida ila hata kama una bundle lako halitotumika funguo ikishaconect kwa juu.
[ *Nb*KILA UNAPOFUNGUA APP YA MY FREEDOM ITALETA KA POP UP MSG FLAN HIVI WEWE BONYEZA CANCEL THEN START CONNECTION
Hapo utakuwa unakula internet bure kabisa _______hatua ya pili,kununua vifurushi________
Utarudi nyuma sasa kwenye link yako na utalog in kwa credential zako then utabonyeza accounts pale juu kisha utaona vifurushi vyako pale,inashauriwa kununua japo kifurushi cha mobile plus na kuendelea ndo speed iko vizuri
Mfano mimi hapa natumia kifurushi ya £2 ambayo ni kama sh 5600 kwa mwezi
Utapaswa kuwa na MasterCard, visa card au paypal kununia kirurushi
Pindi tu unapokuwa umenunua kifurushi acc yako inakuwa recharged ndani ya dk 5 na ukirefresh page yako utaona kwa juu kisogo katikati maandishi kama ya kijivu yakionyesha unatumia kifurushi gani na kinaisha lini
Ukifuatilia maelezo yangu kwa makini hutokwama hata sehemu moja,
Changamoto niliyoiona wakati wa matumizi ya hii app ni connection kukatika tu hivyo kwa siku unaweza jikuta umebonya start connection zaid hata ya mara nane maana kuna wakati unashangaa sim iko idle kama lisaa ukiangalia kwann hupati internet unajikuta funguo imeondoka so inakulazimu kwenda kwenye app yako ya My freedom na kubonyeza start connection mara kwa mara, pindi unapobonya start connection inachukua hadi dk 5 kuwa connected.
Ni hayo tu