kuna kitu kinaitwa driver detective...ni softeware inatotumika ku detect drivers za kompyuter yako na kuziupdate zile zinazohitajika kuwa updated...sasa nenda kwenye torrents website yoyote(naamini unaejua kudownload torrents) search for driver detective ambapo utapata na keys zake (bila kupata full version itashindwa kuupdate maana itakudai keys) ukishaipata hiyo install then connect kwenye net pc yako...kisha fungua hiyo software na uscan drivers zako yenyewe ita detect zoote zinazohitajika kuwa installed na kuzitafuta online kisha kuziinstall...njia ya pili ni ku download kiyu inaitwa driver pack (sina hakika sana kama itakubali kwa pc za zamani kama yako) ila unaweza kujaribu ku itafuta hiyo online (ingawa ni kubwa kig\dogo kama GB2 hivi) hii inakuja na drivers nyiingi mbalimbali kwa ajili ya pc nyiingi za ina tofauti (laptop and desktop)...so ukiipata hii inaweza kusaidia!!