Kuna kukopa bila dhamana kweli? Hata hiyo mikopo ya tigo na voda kuna vigezo na masharti huzingatiwa. Nadhani ungetafuta mikopo ya masharti nafuuWanajamvi heshima kwenu, naombeni msaada wa mahali ninapoweza kupata mkopo usiohitaji zamana(security)tafazalini sana maana maji yanazidi unga ndugu zanguni
kiwango cha chini shingap?Njia ni hizi...
1.VODACOM
(a)Piga *150*05#
(b)Piga *149*01#>6,nipige tafu>utachagua kiasi ukitakacho.
2.TIGO
*149*05#
Airtel na Zantel endelea kutafuta msaada zaidi..Wapo wanaojua zaidi watakusaidia..
NB;
Hii mikopo ni mizuri kwani haihitaji dhamana yoyote..
hizo ni za muda wa maongezi.usije ingia chakakiwango cha chini shingap?