Jinsi ya kupata kazi benki ya TPB

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Nisaidieni maana nimetuma maombi mengi sana ila sijawaikuitwa hata mara moja, yaani nao wamekuwa kama zoomtanzania na apply now? Ni benki inayotangaza nafasi nyingi ila uki-apply imekula kwako huitwi jamani! mbona hivi?
 
nina apply kwa mara ya mwisho, vinginevyo ntaenda kumuona hr live anieleze kwa nini huwa aniiti, maana ile benki ya umma. cio crdb na umangini.com
 
@mlalahoi,bank zote zina sera hyo,hata BOT hawachukui watu hovyo,mpaka wakufanyie vetting ya kutosha.hzi commercial banks ni mwendo wa kujuana zaidi
 
We unafikiri ndugu zao wamekufa? Wanao wengi tu tena wamewapanga foleni, utasikia we sikilizia tutatangaza nyingine June wacha tumtoe John kwanza kakaa sana.
 
nmb wapo fair ila tpb hakuna kitu wanatangaza ila hawatuiti hata mimi nimeliwa sana za ems ila hakuna cha interview wala nini ndio maana namlilia magufuli aingilie kati
 
@mlalahoi,bank zote zina sera hyo,hata BOT hawachukui watu hovyo,mpaka wakufanyie vetting ya kutosha.hzi commercial banks ni mwendo wa kujuana zaidi
Upo Sahihi Ni vema Ukajitolea angalau hata mwaka mmoja hivi zikitoka kazi i believe watatangaza na Utachukuliwa.
 
nisaidieni maana nimetuma maomba 1000 sjawai itwa hata mara moja, yn nao wmekuw km zoomtanzania na apply now? ni benk inayotangaza nafasi nyingi ila ukiapply imekula kwako huitwi jani mbona hivi?
Namna hii utachukuliwa wapi, kichwa cha habari maombi ya kazi sijui ktk jeshi gani hapa nchini, ndani ya habari maombi ya kazi benki, yaani kama unachanganya habari namna hii ndani ya maombi, huyo atakae kuita kwenye usaili ni nani?
 
Hapo umemshauri ama umezidi kumkatisha tamaa ...alikuambia kua amechanganya kichwa cha habar na maelezo ndan ya habar...wa tz wana roho za husda sana alfidhwaauum
 
Kumbe tupo wengi, nilijua mi pekee ndio nina apply lakini siitwi. Eti unaweza kuomba internship kwa kutuma barua tu bila kuonana nao face to face na kuitwa.
 
Back
Top Bottom