Jinsi ya kupata joining instruction UDOM

Jinsi ya kupata joining instruction UDOM

Joined
Apr 25, 2015
Posts
52
Reaction score
2
Wandugu naombeni msaada jinsi ya kuipata joining instruction form ya kozi hiyo hapo juu sababu nimechaguliwa but sijui jinsi ya kuipata.
 
Ingia kwenye website ya chuo UDOM-WEB then bofya palipoandikwa "Alis" na fuata maelekezo yatakayotikea
 
Kwani hyo ALIS yenyewe inafunguka!!!!!!!!!!!!! maaana admission za Udom majanga matupu
Bado wanafanyia process majina yenu wala msiwe na haraka mambo yatakuwa sawa kwa muda muafaka
 
Bado wanafanyia process majina yenu wala msiwe na haraka mambo yatakuwa sawa kwa muda muafaka

Mhhh!!!!!!!!!!!! madogo wanaumia kweli na hzo Admission za Udom ,basi ngoja wasubiri.
 
Back
Top Bottom