Jinsi ya kupata AVN

Jinsi ya kupata AVN

Vee lovie

Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
74
Reaction score
115
Anaefaham jinsi ya kupata AVN kutoka NACTE utaratibu ukoje, pleaseeeeee matokeo yametoka leo nataka nipate AVN ili nifanye application leo leo, deadline leo wapendwa, pleaseeee muongozo wa haraka msaada
 
NAV.png

PIGA HIZO NAMBA HAPO CHINI KWA MSAADA ZAIDI
 
hapo huwezi kupata AVN kwa huu mwaka ndugu yangu, mpaka pale matokeo yatumwe NACTE na baada ya kutumwa waverify kwaajili ya matumizi kama yako. Jambo la kukushauri wasiliana na chuo chako uwaulize kama wameshatuma NACTE ikiwa ndiyo basi fika ofisi za NACTE physically kalie nao mpaka wakupe hiyo AVN au kama una kigogo pale mtumie pia huyo atakusaidia. Lakini ukisema usubirie utaratibu uenda bahati isiwe kwako mkuu.
 
Mhh
 
Kama matokeo yametumwa nacte anaweza kupata AVN leo leo kupitia simu yake hata bila kwenda huko nacte wala bila kuwa na kigogo, cha msingi ni chuo wawe wamepeleka matokeo tuu.
 
Anaefaham jinsi ya kupata AVN kutoka NACTE utaratibu ukoje, pleaseeeeee matokeo yametoka leo nataka nipate AVN ili nifanye application leo leo, deadline leo wapendwa, pleaseeee muongozo wa haraka msaada
Wasiliana na mtu wa chuo chako kumuuliza kama matokeo yameshapelekwa nacte, kama yameshapelekwa bc AVN unaipata leo na una-apply chuo leo leo.
 
hapo huwezi kupata AVN kwa huu mwaka ndugu yangu, mpaka pale matokeo yatumwe NACTE na baada ya kutumwa waverify kwaajili ya matumizi kama yako. Jambo la kukushauri wasiliana na chuo chako uwaulize kama wameshatuma NACTE ikiwa ndiyo basi fika ofisi za NACTE physically kalie nao mpaka wakupe hiyo AVN au kama una kigogo pale mtumie pia huyo atakusaidia. Lakini ukisema usubirie utaratibu uenda bahati isiwe kwako mkuu.
Umenena vyema mkuu.

Niliwahi kufuatilia AVN ofisini kwao, niliudhika sana na nilichokishuhudia.

Nihitimishe tu kwa kusema, connection ndio njia pekee ya kufanikisha mambo siku hizi
 
Jamani acheni kupotosha, mm niliwahi kumfanyia jamaa yangu kupata AVN. Mwaka jana udom walipeleka matokeo mfano leo siku hy hy nikapata AVN na siku hy hy aka-apply chuo
 
Kwa hiyo tuhitimishe vipi? Maana kila mmoja wetu kakutana na kadhia tofauti na ya mwingine
 
Skia, mm wakati namfanyia jamaa udom walikuwa hawajapeleka matokeo hvy ad nilienda nacte mana jamaa alikuwa mkoa lakini bado ikashindikana kupata AVN. Siku ya mwisho ya ku-apply chuo round ya mwisho kabisa mwaka jana ndio udom wakapeleka matokeo na wakatuma taarifa kuwa matokeo tayar yametumwa hvy nkagusa kwenye system ya nacte nikakuta tayari control number wameshatuma hvy jamaa akalipia akapata hiyo AVN na mwaka jana ilkuwa unalipia 20k kupata AVN baada ya kupata AVN jamaa aka-apply siku hy hy
 
Sawa mkuu.
 
Jamani acheni kupotosha, mm niliwahi kumfanyia jamaa yangu kupata AVN. Mwaka jana udom walipeleka matokeo mfano leo siku hy hy nikapata AVN na siku hy hy aka-apply chuo
Mambo yanabadilika uenda sasa iko hivyo, hakuna kuchelewesha mambo. Jambo la msingi mtoa mada akaulize chuoni kama wametuma hayo matokeo ingawa si jambo rahisi kwa watumishi wetu hawa. Eti tokeo litoke leo nacte watume siku hiyo hiyo. Atumie nguvu ndugu yetu kuwafosi chuo watume matokeo NACTE.
 
Back
Top Bottom