Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Nimeshajaribudah basi sawa mtakao jaribu mje mtupe mrejesho
Hiyo njia ukiifanya unapata followers hata 10k ni juhudi zako tu. Jaribu uone.naona ndugu mckonje anatafuta followers kijanja 🙂
naona wanatiririka..kumbe ulikua hutanii..Hiyo njia ukiifanya unapata followers hata 10k ni juhudi zako tu. Jaribu uone.
yani hapo juhudi zako tu na muda wako.naona wanatiririka..kumbe ulikua hutanii..
hiyo ni back up account yangu @mckonjetv ila account rasmi nina 19.4K @mckonjeanayesema haya ana follower 3000...
Naiomba wasap 0714592223Habari za jioni.
Tanzania inaongoza barani Afrika kuwa na watumiaji wengi wa Mtandao wa Instagram. Wapo wanaotumia mtandao huu kwaajili ya biashara na wapo wanaotumia kinyume na jinsi inavyotakiwa. Kutokana na Umaarufu wa Insta kuongezeka kwa kasi sana,watu wamekuwa wakitumia mbinu mbali mbali ili kujiongezea followers. Wapo ambao wanaweka hadi picha za ngono ilibkuwavutia watu zaidi. wengine huwa wanafocus kwenye Umbea na Udaku ili kujipatia umaarufu na kuongeza followers. Ili kuepuka yote hayo nimekuandalia video elekezi itayokuonesha jinsi ya kupata followers zaidi ya 100 ndani ya dk5(kama ukifata hatua vizuri)
Angalia video hii na kama una swali lolote karibu nitakupa majibu in sha Allah.
Yes. ila unatakiwa kufanya haraka sana . yani kama utaweza kufanya hiyo system mara 200 ndani ya dk 10 basi utapata hata zaidi ya 200.It means hzo dk. 5 zikiisha ukianza tena KWA dk.5 nyngne utapata tena 100 followers?!, yan followers 200 KWA dk. 10
Naiomba wasap 0714592223