Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
simu yangu imevamiwa na virus ambaye kila baada ya sekunde au dk kadhaa inatokea text kwenye screen yenye maneno "hello world" imekuwa inasumbua maana popote ulipo inatokea na kuficha kile ulichokuwa unafanya mpaka urudi back ndo uendelee ambapo tena after some few sec hayo maneno yanatokea tena.
je kuna mtu anafaham namna ya kuondoa huyu virus? tushirikishane please .... kati ya watu ambao wamekuwa na mchango katika mambo ya IT ni pamoja na CHIEF MKWAWA naomba nimkaribishe na wengine pia bila kusita.