Jinsi ya kuondoa Google Ads katika simu za Android.

Jinsi ya kuondoa Google Ads katika simu za Android.

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
593
Watumiaji wengi wa Android suala la Ads katika Apps linatuchukiza sana,

With Ads 2.jpg With Ads.jpg

hapa nitaeleza njia ya kuondoa

Ads.
Mahitaji:
1. Simu ya Android iliyokwisha Kurutiwa.
2. Lucky Patcher App (http://lucky-patcher.netbew.com/download/files/Lucky Patcher v3.5.2.apk)

Namna ya Kuondua Ads.
Baada ya ku-Install Lucky Patcher kutoka katika Link hapo juu1. Fungua Lucky Patcher,

Locate Lucky Patcher.jpg

2. Chagua App ambayo unataka kuiondolea Google Ads,
Locate your App.jpg

3. Bofya Open Menu of Patches,
Open Menu of Patches-picsay.jpg

4. Chagua Remove Google Ads,
Click Remove Ads-picsay.jpg

5.Chagua Patch Google Ads,
Click Patch Google Ads.jpg

6. Kwenye Chek Boxes chek "Resizing Ads to Null/Zero"
Check Resize Ads to Null or Zero.jpg
kisha Scroll mpaka chini na Chek "Apply Patch to dalvik-cache" na UN-CHEK "Backup apk file for reinstall",
Chek Apply Patch to Dvlink Catche.jpg
kisha click Apply,
Click Apply.jpg

7. Subiri Patch Process iishe,
Wait Patch to Complite.jpg Lucky Patch Resurts.jpg

8. Rudi kafungue app ulio Patch.
No Ads.jpg


ANGALIZO
: Kama App ulio Patch haifanyi kazi vizuri au inaleta shida yeyote install upya na usitumie Patch tena katika Version ya Lucky Patch ulio Tumia.



Regards
 
Basi hiyo ina procedure ndefu, download adsaway yaan ni one click tu inafanya kila kitu kwenye kila app,
 
nawezaje kuroot huawei ascend y300?? , inaandroid 4.1
 
Back
Top Bottom