Jinsi ya kununua magari mtandaoni

Jinsi ya kununua magari mtandaoni

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
Jamaa yangu kaniambia ukitaka kupata gari kwa bei rahisi wape kazi wale Jamaa wanaowinda dili za magari mtandaoni

Jamaa anasema hao Jamaa unawapa sifa za aina ya Gari unayoitaka wao wanakutafutia kupitia haya makampun ya magari (befoward)

Wakishapata hilo gari utatumiwa invoice ukalipie benki

Kwa njia hiyo anasema unapata gari kwa bei rahisi, hao majamaa wewe utawapoza hela kidogo baada ya gari kupatikana

Alinunua Nissan dualis kwa millioni 16 mpaka inatoka bandarini

Je, kuna ukweli hapo?
 
Sishangai na inawezekana 100%..
Watanzania ni watu wavivu sana kujifunza kitu chenye manufaa. Wanajua jinsi ya kutafuta udaku, umbea na connection mitandaoni lakini vitu vya maana kutafuta hawawezi.
Kuna dada ana miaka 23 "kawapiga" watu wazima Tsh Billion 2. Hawa watu walimpa pesa awaagizie bidhaa China.
Imagine mtu ana smartphone ila kazi ya Smartphone ni kucheki umbea mtandaoni. Nasema watu hawa waendelee kupigwa zaidi..
 
Karibu carhunt japan tukusaidie na kukupa gari unayoitaka kwa kipindi kisichozidi wiki sita baada ya malipo
 
Jamaa yangu kaniambia ukitaka kupata gari kwa bei rahisi wape kazi wale Jamaa wanaowinda dili za magari mtandaoni

Jamaa anasema hao Jamaa unawapa sifa za aina ya Gari unayoitaka wao wanakutafutia kupitia haya makampun ya magari (befoward)

Wakishapata hilo gari utatumiwa invoice ukalipie benki

Kwa njia hiyo anasema unapata gari kwa bei rahisi, hao majamaa wewe utawapoza hela kidogo baada ya gari kupatikana

Alinunua Nissan dualis kwa millioni 16 mpaka inatoka bandarini

Je, kuna ukweli hapo?
Hapana mtandaoni sio kama ilee magari yote bei ghali, ni kwamba kila gari linafanyiwa inspection na kupewa bei kulingana na inspection hio

Unaweza ukakuta gari nzuri kwa njee kila kitu safi kwa bei ndogo kulingana na zengine lakini ikifika unaanza kupata matatizo mbali mbali,

Nashauri uagizie na zile company ambazo zina mtu tayari kule kule akugagulie na akutumie picha za ziada hapo ndo utatokwa na hofu

🦦 otherwise kama unataka gari mpya kwa bei ndogo.... yale yanasakwa kwa msimu. Tuchukuliwe Be-forward juzi kati walikua na offer ya saba saba ambapo magari yalikua yanauzwa kwa punguzo.... kwahio unasaka misimu kama hio christmas, eid , sabasaba n.k
 
Sishangai na inawezekana 100%..
Watanzania ni watu wavivu sana kujifunza kitu chenye manufaa. Wanajua jinsi ya kutafuta udaku, umbea na connection mitandaoni lakini vitu vya maana kutafuta hawawezi.
Kuna dada ana miaka 23 "kawapiga" watu wazima Tsh Billion 2. Hawa watu walimpa pesa awaagizie bidhaa China.
Imagine mtu ana smartphone ila kazi ya Smartphone ni kucheki umbea mtandaoni. Nasema watu hawa waendelee kupigwa zaidi..
Tatizo lugha ya Kiingereza
 
Aibu kweli,Mwanao mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom