Jinsi ya kumtambua mtu mwenye wivu

Jinsi ya kumtambua mtu mwenye wivu

MAHENGE JR

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
497
Reaction score
637
Habari zenu ndugu zangu hapa jamvini?kilichonifanya niandike hii post ni kutaka kujua njia ya kumtambua mtu mwenye wivu....yaani anakuwaje kimwonekano katika wasifu wake wa nje na kimatamshi...sababu hapa pana waelimishaji wazuri nina imani nitapata majibu mazuri...
 
haaaaaa sidhan kama vigezo vina kidhiiiiiiiiiiiii
 
Wewe mtanie jana nilikuwa na shemeji yangu(mke/mpenzi wa muhusika) tukaenda kupata chakula cha mchana
 
Mnaokaa au Mnaoishi Dodoma Nauliza Hospitali Ya Vichaa Na Wehu Ya Mirembe Imejaa au?
 
Mnaokaa au Mnaoishi Dodoma Nauliza Hospitali Ya Vichaa Na Wehu Ya Mirembe Imejaa au?
Bado ipo wazi
Hata kule Blood More wanahitajika watu

Huvu unafikiri nao hawana Wivu, akikuona tu uko huru na sio getii ni wivu, msosi , mavazi nk

Labda niseme ni Nguruwe tu hana wivu inawezekena mzigo wake ukaliwa na mwingine lakini yeye wala kajilalia tu na hata amaalize yeye haombi na rijali
lkn Ng'ombe Dime la mbegu, Jogoo, Beberu , mbwa aone mwenzake kaparamia loooooo
!! anamshusha

MAHENGE JR fafanua zaidi usikute tunatoa darasa nje ya fikra na mada yako
 
bado! Siwaelewi vizuri nahitaji elimu zaidi jamani.......
 
Back
Top Bottom