Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.
1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.
2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)
3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)
4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!
5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.