Huyo atakuwa hajafundwa. Unyago na Sherehe ya jikoni ni muhimu saaanaaaaaa.
Huyo bwana anamuonea huruma tuu mwanamme hasa amue kukupiga atakutwanga mpaka uwiii wiiii....anamfurahisha tuu..
Haya mambo huwa yanatokea mara nyingi majumbani LAKINI kutokana na mfumo dume wanaume mara nyingi
huona haya kujitokeza hadharani na kushitaki manyanyaso wanayoyapata toka kwa wake zao...wanaogopa kuonekana "dhaifu" mbele za watu...wanakufa kisabuni NATOA WITO....wanume wote mnaopokea kichapo toka kwa wake zenu au manyayaso mengine kama vile kunyimwa chakula cha usiku kwa muda mrefu bila sababu ya kueleweka jitokezeni...anzisheni vuguvugu la haki za wanaume
sasa wewe Mbuzi umetuchoka unataka Wake zetu watuchape namna hii? ahhhhhhh wacha weeee Mbuzi Mzee