Upo sahihi, draft isiwe ya kuumiza macho!!Rangi bomba za suruali ni brown, black na kijivu,
mashati yenye maua yanaboa.
ila ukivalia lenye drafts au mistari ya size ya kati create a gentle look.
una ugomvi na magamba...Yaani mtani nikivaa nguo ya kijani...inaweza pita hata week sikamati hata mia mtani....zile nguo ni balaa......nadhani zimelaaniwa......
Kama ni kwenye bizness ndio kabisa usizivae labda kama biashara yako unafanyia maeneo ya lumumba....
Hiyohiyo itakusaidia kutotumia kioo kama make up imesumbua kidogo tukiwa outMamamamamama......:hiyo ya kuwakawaka.......?.....
Teh teh teh.....Lool usivae suruali nyeupe labda kama unacheza golf au yakulalia au wewe ni trafic police
Ilo sio jibu!! mambo ya simba na yanga hapa hatutakiMfano shati red na suruali nyeusi au wewe shabiki wa simba weka suruali nyeupe!!!!
Pole Kwa maumivu jamaaIlo sio jibu!! mambo ya simba na yanga hapa hatutaki
Ko saiv ndo mna jidai na vigoli viwili af vya kuotea polen sanaaaPole Kwa maumivu jamaa
Magoli yenyew mme oteaaPole Kwa maumivu jamaa
Ila unatakiwa uwe Na moyo wa uvumilivu cz atakuwa cyo msafiNaanza kutafuta namna ya kumtreat as if mpita njia ila kama anayo chapaaa mbona namvumilia hivyo hivyo tu
kweli kabisaIla unatakiwa uwe Na moyo wa uvumilivu cz atakuwa cyo msafi
Blaza.....Magoli yenyew mme oteaa
Unaweza kushona ukiwa na fundi mzuri, maana mafundi wengi wanakosea sana kupima mabegani na ukivaa shati Lina jaa kwapani....hiv shat nzuri za vitenge nazipata duka gan dar?
Karibu....Thanks for useful advice...