mwana
Habari wana JF-Science Forum
Nina tatizo na jinsi ya kum-tag mtu katika post au ku-link web au kitu katika post, je vitu hivyo viwili naweza kuvifanya vipi humu kwenye JF?..
Kama kuna uzi ambao ulishwahi kulizungumzia hili, naomba nijulishwe uzi huo ili niufuatilie na kama hamna basi naomba nifahamishwe.
Natanguliza shukrani.Code:mwana
Labda sio jicho lile mkuuMkuu unajiita ""jicho"" kweli uko sirias?
Hahaha nashukuru kwa kunielewa