Jinsi ya kulipia 25% heslb kwa aliyesitisha masomo

El Maggy

Member
Jun 24, 2021
98
43
Habari Waungwana..Naomba kuuliza jinsi ya kulipia hizo Asilimia 25 kwa bodi ya mikopo kwa mnufaika wa mkopo aliyesitisha masomo miaka ya nyuma.Asante
 
Kama upo dar nenda tazara pale watakupa mwongozo,kama upo mbali au busy ingi www.heslb.go.tz nend kwenye contact kuna namba zao wacheki
-ukimaliza naweza kukusaidia kufanya application tena🤓🤓🤓
 
Kama una uwezo hata kidogo wa kijisomesha achana na loan board .. kaa nayo mbali kabisa.

Asante kwa ushauri wako ila uwezo wa kujisomesha sina kusema kweli ngoja nijarib bahat yangu kama naweza pata mara nyingne tenaa mara hii na ada.
 
Sasa hivi wanatoa hela kizembe si wanajua watakukamata,2018 Heslb imekusanya Billion 28,2019 wamekusanya Billion 182 kama malipo ya madeni yao
 
kuna wanaolipa iyo 25% na wakapata tenaaa mkopo au ndo inakula kwao.
Wanapata maana i had friends walidisco chuo wakiwa na mkopo so wakalipa hilo deni waomba chuo upya na mkopo upya kozi za engineering wakapata vyote 80% mkopo
 
Back
Top Bottom