Jinsi ya kukuza(inlarge) picture ya size ndogo

Jinsi ya kukuza(inlarge) picture ya size ndogo

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
808
WAKUU MI NNA PICHA MBALIMBALI ZIKIWEMO NA RAMANI ZA VIEW ZA NYUMBA NNAYOTEGEMEA KUJENGA NMEDOWNLOAD FROM INTERNET HAPA ILA NIMEJARIBU KILA NJIA KUZIKUZA SIZE ILI NIWEZE KUZIONA FRESH KWENYE DESKTOP NA PIA KUZIPRINT NIMESHINDWA NA PIA NILIJARIBU KUZIKUZA KUPITIA MICROSOFT OFFICE PICTURE MANAGER ILA BADO INAZINGUA MAANA ZINAPOTEZA QUALITY YAKE.

HIVYO WAKUU NAOMBENI MSAADA PLZIIIII KAMA KUNA PROGRAM YEYOTE INAYOFANYA KAZI HIYO AU ANY MEANS KWA WATAALAMU WA HII MAKITU.
aminia vichwa vya JF havitashindwa hii mambo...
Thax in advance.......
 
Kwanini usitafute picha kubwa kwenye internet,zipo hata kama utatumia photoshop picha ikishakuwa ndogo ina maana kuna baadhi ya information zimepotea,utaweza kuikuza ila haitakuwa na quality nzur,kama una nia ya kuanza kujenga hiv karibuni unaweza ukawatafuta architects wakakuonyesha sample ya picha,wengine watakupa tu for free ila kama ni ramani inabid uchangie.
 
Mkuu, ukijua kutumia Photoshop haipotezi quality hata kidogo. Ila ni vizuri kutafuta architecture akupe ushauri km ramani hiyo inafaa kwa uwanja wako.
 
Mkuu, ukijua kutumia Photoshop haipotezi quality hata kidogo. Ila ni vizuri kutafuta architecture akupe ushauri km ramani hiyo inafaa kwa uwanja wako.

Architecture ni fani..na architect ndio mtaalamu wa fani ya architecture!! So mwambie amtafute architect na sio architecture...
 
i think hapo hakuna lolote nnavyoelewa mm kama pic ipo inaquality(low pixel) ndogo hata ukijaribu kuiongeza size still its nt helfull cz hpo ndo utaaribu quality ya pic cz kuna baadhi ya feature ya hiyo pic kutoonekana vizuri hivyo bas ni vyema unaposearch unaandika na ukubwa wa picha unaitaka!!!!
 
Ndiyo tumia photoshop na kama hujuwi kuitumia omba watu humu watumie kwa pm au namna yeyote na watakusaidia ndani ya dk 10.
 
Back
Top Bottom