Jinsi ya kujiunga na Airtel Android

Jinsi ya kujiunga na Airtel Android

Buggy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
236
Reaction score
61
Kuna anayeweza nisaidia kunielewesha jinsi ya kujiunga na huduma ya Android kupitia mtandao wa Airtel?
 
Nunua simu yako ya android(gsm/edge/wcdma3G, weka line yako ya Airtel, washa simu. Hapo utakuwa umepata mtandao wa Airtel na huduma zake zote. Hahaha!
 
Back
Top Bottom