Jinsi ya kujiondoa NMB mobile

Nenda kwenye ATM
Chomeka kadi
Chagua NMB Mobile (inakuwa chini, upande wa kulia)
Chagua Deactivate Number
Ingiza Password ya NMB Mobile (sio password ya ATM)
Utapata msg kwenye namba yako kuwa umefanikiwa kujiondoa.
Tigo na Voda wapuuzi sana,bila sh.100 hupati access ya nmb mobile
 
Nenda kwa menu ya NMB zeni kosea password mara 3 wataifunga hapo itakua kutoa mpk ATM
 
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu
Mjifunze Kuchagua
By Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…