Nenda NMB tawi lolote lililokaribu na wewe utapata utaratibi namna ya kujiondoa nadhani kama sikosei kuna fomu utajazaNifanyaje ili kujiondoa NMB mobile? , hii huduma siitaki tena naona napigwa sana makato ni bora niwe naenda kwenye ATM tu.
Nenda NMB tawi lolote lililokaribu na wewe utapata utaratibi namna ya kujiondoa nadhani kama sikosei kuna fomu utajazaNifanyaje ili kujiondoa NMB mobile? , hii huduma siitaki tena naona napigwa sana makato ni bora niwe naenda kwenye ATM tu.
Nenda benki watakutoa au renew line. Angalia option rahisi kati ya hzo.Nifanyaje ili kujiondoa NMB mobile? , hii huduma siitaki tena naona napigwa sana makato ni bora niwe naenda kwenye ATM tu.
Nifanyaje ili kujiondoa NMB mobile? , hii huduma siitaki tena naona napigwa sana makato ni bora niwe naenda kwenye ATM tu.





Nmb mobile haimuachi mtu salama man city huyu, bora nijiondoe tu






ulienda kuchungulia kamebaki kash ngap...Mkuu acha tuu.. man city hafaiiUnapigwa kivipi mkuu,naomba ufafanuzi please!
Nenda kwenye ATM
Chomeka kadi
Chagua NMB Mobile (inakuwa chini, upande wa kulia)
Chagua Deactivate Number
Ingiza Password ya NMB Mobile (sio password ya ATM)
Utapata msg kwenye namba yako kuwa umefanikiwa kujiondoa.
Are you sure?Very Right. Ila mkumbushe pia kama ni Mtumishi wa Serikali basi hudumu ya Advance Salary ndio hata ipata tena
Kama wewe ni mtumishi njaaa hutaweza Tena kukopa salary advance labda uwe unakwenda kujaza fomu kila utakapohitaji hiyo huduma,Yeah! Mimi ni mtumishi wa serikali mkuu
Kama wewe ni mtumishi njaaa hutaweza Tena kukopa salary advance labda uwe unakwenda kujaza fomu kila utakapohitaji hiyo huduma,
Mkuu inasema unakatwa Makato makubwa, je unakatwaje au mkuu unabeti Sana kwahiyo unahamisha salio kila Mara ili ulipie mkekaa


huo ndio ukweli na man city jana kondoka na mkeka wa laki na nusu sasa naacha huu upuuzi