Ila aisee Tanzania ni noma!! Wananchi wake walimwagiwa tindikali na haikufuatiliwa kwa kuwa walikuwa wanatoka Upinzani au kumwagia wa upinzani kama yule wa Tabora ili tu kuweka chuki kwa upinzani. Walipomwagiwa waingereza, ndipo na wagonjwa mkatembelea na kuanza kuja na mkakati eti wa kuwabana wauza tindikaji. Shame, shameful!!