F Fruit Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 193 Reaction score 54 Jun 4, 2013 #1 1. Betri ina jaa charge baada ya dakika tatu 2. ina TV, TOCHI na mswaki 3. NDEGE ikipita karibu simu ina andika 1 MISSED CALL 4. Ukiwa karibu na JIKO inaandika CHARGER CONNECTED 5.Ukipita karibu na MCHINA SIMU inaandika NEW DEVICE FOUND
1. Betri ina jaa charge baada ya dakika tatu 2. ina TV, TOCHI na mswaki 3. NDEGE ikipita karibu simu ina andika 1 MISSED CALL 4. Ukiwa karibu na JIKO inaandika CHARGER CONNECTED 5.Ukipita karibu na MCHINA SIMU inaandika NEW DEVICE FOUND