Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Wataalamu naomba kujua jinsi ya kuhack accaunt kwenye mtandao wa facebook ni kwania njema tu.
Kama unajua user name ya huyo mtu mwenye account unataka kuhack ingiza hiyo email kama vile unataka kusign in ukishaingiza email nenda mahala pameandikwa kama umesahau pasword bonyeza itakuletea option ya either kuingiza number ya simu or email ingiza number yako ya ya simu watakutumia password
Mkuu kwenye simu umeshindwa kufanikiwa sasa umehamia kwenye facebook account! teh teh teh teh teh teh teeeeeeeh!
Ngoja nitafute nikifanikiwa nitaku-PMKokotekote tunajalibu kama wafahamu nijuzee ati.
Wataalamu naomba kujua jinsi ya kuhack accaunt kwenye mtandao wa facebook ni kwania njema tu.
Ngoja nitafute nikifanikiwa nitaku-PM
Wacha ni pekue pekue vijitabu nlivyo navyo hapa kisha ntakujaza baadaye kidogo tu,hata usiende mbali.
Kama unajua user name ya huyo mtu mwenye account unataka kuhack ingiza hiyo email kama vile unataka kusign in ukishaingiza email nenda mahala pameandikwa kama umesahau pasword bonyeza itakuletea option ya either kuingiza number ya simu or email ingiza number yako ya ya simu watakutumia password
Hamna haitafaa kwasababu hiyo namba unayoulizwa uingize ni namba ya mwenye username kwasababu unapofungua account yako ya facebook unafunguwa na emai yako kwenye kujaza form na namba yako unaiweka hapo. Namba utakayoulizwa ni ya user so ukiweka yako itakataa kwasababu haitambuliki