Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
wanajf naomben msaada wenu wa jinsi ya kuhack simu yngu coz kila app ntayoidownload inaniletea cert.error ni chache tu zinazokubal ila pia nimejaribu kugoogle wakanielekez jinsi ya kuhack hlf ktk hayo maelekezo kuna vi2 wananambia nividownload,sasa nikividownload navyo vinakataa kuwa installed kwa hyo kwa ufupi mm nimeshindwa so ndo mana nikaona bora nililete humu jf,naomben msaada wenu wakuu