KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,772
- 12,174
Juzi niliingia JF kwenye internet cafe flani ivi, jana nilipoenda tena pale,nilishangaa kusikia naulizwa "kumbe wewe ndo kakaJ".
Katika kufuatialia nikagundua kuwa, yule mdada alienda kwenye ukurasa wa JF na akawa anajaribu kila herufi pale kwenye login, ndo ilipo-display "kakajambazi"
Sasa wakuu naomba mnifahamishe nitawezaje kuifuta hii kumbukumbu kwenye lile eneo la login iwapo nitakua natumia komputa za jumuia?
Je JF wanapaswa kulaumiwa?