Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Jinsi ya Kufukuza MAJINI au WACHAWI au MAPEPO au MIKOSI au LAANA au MALIMBWATA.
1. Sali kwanza na kumuomba Mungu kwa Damu ya Yesu ayafukuze makandokando yote.
2. Chukua moyo wa samaki na iñi la samaki, weka juu ya ubani unao ungua yaani kwenye moto. Fanya ukiwa chumbani kwako.
3. Usumbufu wote utakwisha.
4. Jiandae kupata kitabu " Mwanamalundi na Dini Mpya" kitakacho kuongezea mbinu nyingi.
5. Soma Biblia kitabu cha TOBITI 6:1-18. Upate ufafanuzi zaidi.
6. Nakutakia Kheri ya Mwaka Mpya ila usishindane na Mimi Deogratius Kisandu utaangukia pua maana Mimi ni zaidi ya Ubani, moyo na INI. Kumbuka wakati Yesu ana zaliwa moja ya zawadi aliyoletewa ni UBANI.
Deogratius Kisandu.
1st January 2017.
Kahama-Tanzania.