Jinsi ya kuflash smartphone

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Habari zenu wana jf mimi nina Huawei 530 ambazo huuzwa na tigo.Nataka kujua kama ninaweza kuiflash ikawa inatumia line zote pia napenda kufundishwa jinsi ya kuflash sim kwa kutumia computer... akhasanteni
 
aisee babayangu nenda pale kariakoo mtaa wa msimbazi ni buku ten line zote unaweka,, maelezo zaida watakupa
 
Afadhali Ndugu umeuliza swali zuri sana hata mm nasubiri maana nahitaji pia kujua
 
Asanteee sana ndugu Mwl.RCT kitu kipo okey
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…