Yeah, ila sio kwa version hii, hii ni offline version. It works without the internet.Asante sana kwa ubunifu lkn mm hii njia ya kuback up naiogopa kama ukoma
Zaidi ya Yote Huawei flasher huwa inataka Internet connection ambayo source inabidi isiwe Huawei modem
WARNING: YOU`RE FOLLOWING THIS GUIDE AT YOUR OWN RISK!... I DO NOT HOLD ANY RESPONSIBILITIES IF YOUR MODEM TURNS OUT DEAD!...
So, kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kwenda kwenye link hapa na u download files zote zilizokuwepo ndani...
baada ya hapo fungua dashboard yako, click on Tools->Diagnostics, upate menu kama :
View attachment 120486
ukipata hiyo menu, Note hiyo "Application Port"; kama hapo, kwangu ni COM3.
sasa nenda kwenye yale mafile uliyodownload, fungua file "Ports.ini" kisha weka namba yako ya port kwenye "N_Port", kisha save.
View attachment 120487
Sasa funga kabisa dashboard yako:
View attachment 120488
Baada ya hapo, run file la "Huawei Flasher" kama admin:
View attachment 120489
Ikisha funguka, Click On "Read modem info"
View attachment 120490
ikikubali kusoma, Click on "Nv Items" and do a backup...
Ikimaliza kufanya backup, click on "Select Firmware"->"Extract from EXE", kisha chagua file "E303CUpdate_21.157.13.00.910.B757"...
View attachment 120491
Kisha Browse mpaka kwenye folder liitwalo "Out" ili ku extract hayo ma file...
Baada ya extraction nenda kwenye dropdown list ya "MODEM" na uchague "E173 v21.157.13.00.864":
View attachment 120492
Kisha click on "Flash modem"->"Normal mode", kwasababu ulishafanya backup mwanzo, just click "No".
Ita Disconnect modem then utakapo sikia mlio wa kuconnect device, click on Yes.
View attachment 120493
Subiria ifanye flashing mpaka itakapo maliza, please do plug off your modem during the Process!...
View attachment 120494
Itakapo maliza, Dashboard yako itafunguka lakini ita display Information ambazo sizo:
View attachment 120495
So chomoa modem yako kisha chomeka tena, Rudi kwenye Huawei flasher, Click on Nv Items-> Restore and choose a "*.bck" file iliyo tengeneza, subiria imalize, kisha ita disconnect and reconnect, baada ya hapo, you`ll be done:
View attachment 120497
View attachment 120496
And Thats All Folks...
Plz, ukikwama, inbox me...
Dah thanx mkuu ndugu ngoja nijaribu ikifa basi bwana.
Well, njia nyengine sio rahisi kihasi hicho, ndo maana nimejaribu ku-cover every step... BTW ningekua na fanya upgrade ingekua rahisi, i was actually downgrading it, which its not that easy without complicated procedures...Kaka,
a biggener unampa,
trick ndefu kama hiyo,
tena yenye #RISK-KUBWA
kwanin, usimpe eazy way,
ya ku Upgrade firmware,
virsion!
Plz, ukikwama, inbox me...
Ngoja nitaifanyia research, ila i cant promise anythin maana sina hiyo modem...please nisaidie nina E3131 inasomea kwenye Browser nataka idial kama modem ya kawaida lkn sasa nimesoma maelezo mbali mbali wakasema inabidi kutumia TERMINAL sasa mm terminal nimedownload lkn sehemu ya ku-send commands nimekosa
Finy Alternative please share here
usikurupuke Kaka,
hyo njia, kama wewe ni bigginner, utaua tu modem yako bure,
Hiyo ni kweli kabisa, Mimi mwenyewe nilishapata hasara ya E303. Ilikufa kabisa kwa kutumia njia ya ku-upgrade.HASARA ya NJIA ya ku-upgrade firmware
-Iwapo kipindi inasema Downloading files haitofika mwisho juu to some Reasons basi modem ni BYE BYE na hautoweza fanya kitu kingine unatupa tu....Pamoja kuwa ni RAHISI
ukishaclick yes, flash ita disconnect then itasubiria iconnect, fungua task manager halaf wai kuend process ya dashboard kabla haijafunguka, uone kama itakubali, dashboard inatakiwa iwe imefungwa all the time, maana huwa inazuia access ya modem na software nyenginemkuu E303 ya tigo imenigome.... baada ya kuchagua "E173 v21.157.13.00.864" na kuchagua flashing-normal mode...imenipa warning nikasema yes...ila ikaandika fail then ikafunguka dashboad...nilipodisconnect moderm na kuiconnect nikarestore ila bado inagoma kusoma line tofauti.....
WARNING: YOU`RE FOLLOWING THIS GUIDE AT YOUR OWN RISK!... I DO NOT HOLD ANY RESPONSIBILITIES IF YOUR MODEM TURNS OUT DEAD!...
So, kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kwenda kwenye link hapa na u download files zote zilizokuwepo ndani...
baada ya hapo fungua dashboard yako, click on Tools->Diagnostics, upate menu kama :
View attachment 120486
ukipata hiyo menu, Note hiyo "Application Port"; kama hapo, kwangu ni COM3.
sasa nenda kwenye yale mafile uliyodownload, fungua file "Ports.ini" kisha weka namba yako ya port kwenye "N_Port", kisha save.
View attachment 120487
Sasa funga kabisa dashboard yako:
View attachment 120488
Baada ya hapo, run file la "Huawei Flasher" kama admin:
View attachment 120489
Ikisha funguka, Click On "Read modem info"
View attachment 120490
ikikubali kusoma, Click on "Nv Items" and do a backup...
Ikimaliza kufanya backup, click on "Select Firmware"->"Extract from EXE", kisha chagua file "E303CUpdate_21.157.13.00.910.B757"...
View attachment 120491
Kisha Browse mpaka kwenye folder liitwalo "Out" ili ku extract hayo ma file...
Baada ya extraction nenda kwenye dropdown list ya "MODEM" na uchague "E173 v21.157.13.00.864":
View attachment 120492
Kisha click on "Flash modem"->"Normal mode", kwasababu ulishafanya backup mwanzo, just click "No".
Ita Disconnect modem then utakapo sikia mlio wa kuconnect device, click on Yes.
View attachment 120493
Subiria ifanye flashing mpaka itakapo maliza, please do not plug off your modem during the Process!...
View attachment 120494
Itakapo maliza, Dashboard yako itafunguka lakini ita display Information ambazo sizo:
View attachment 120495
So chomoa modem yako kisha chomeka tena, Rudi kwenye Huawei flasher, Click on Nv Items-> Restore and choose a "*.bck" file iliyo tengeneza, subiria imalize, kisha ita disconnect and reconnect, baada ya hapo, you`ll be done:
View attachment 120497
View attachment 120496
And Thats All Folks...
Ukikwama anywhere plz, Inbox me...