Coutinho10 Member Joined Mar 18, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Mar 18, 2016 #1 Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu
Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Mar 18, 2016 #2 Coutinho10 said: Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu Click to expand... Sasa sisi tutajuaje modem unayotaka ku unlock? Weka full details
Coutinho10 said: Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu Click to expand... Sasa sisi tutajuaje modem unayotaka ku unlock? Weka full details