Hello wanajamvi poleni n amajukumu ya hapa na pale.
Nataka nitoe somo kidogo kuhusu namna ya kuactivate windows 10.
Hatua hii itafix pia matatizo madogomadogo ya windows kama "Your product licence key will expire soon na windows is not activated"
Unachotakiwa kufanya kwanza download hili file, sio kubwa ni 2kb link ipo hapo chini
Ukishadownload hilo file click on it and run as administrator
Then important thing cha kuzingatia make sure you have internet access ili kufanya activation.
Baada ya kurun as administrator itatake kama dakika mbili then utaona text kwenye cmd yako kuwa your windows is activated.
mkuu mimi naomba unisaidie kitu kimoja kama hautojali, nataka kuprint document fulani hapa lakini printer niliyonayo haionekani kwenye PC yangu nafanyaje printer yangu ni HPLaserJetp1102 nafanyaje?
mkuu mimi naomba unisaidie kitu kimoja kama hautojali, nataka kuprint document fulani hapa lakini printer niliyonayo haionekani kwenye PC yangu nafanyaje printer yangu ni HPLaserJetp1102 nafanyaje?