kazi za zege na kuponda mawe au?Sisi tuna fanya kazi ambazo zinazo ambatana na matusi hatupati shida kila kitu ni OK
Bandarini tanesco gereji Ujenzi n.k sisi tunaishi miaka mingi hatuna mfadhaikokazi za zege na kuponda mawe au?
Utakuwa wale waweka nguzo za tanesco, sijui wana laana gani wale[emoji134]Sisi tuna fanya kazi ambazo zinazo ambatana na matusi hatupati shida kila kitu ni OK
ulishawahi waona wamepigana kisa TUSI? means wapo StrongUtakuwa wale waweka nguzo za tanesco, sijui wana laana gani wale[emoji134]
He he he... Oooh God bless you!! You made my day!! Lakini umewaonea maSwahiba zetu!!Utakuwa wale waweka nguzo za tanesco, sijui wana laana gani wale[emoji134]
He he he... Oooh God bless you!! You made my day!! Lakini umewaonea maSwahiba zetu!!
haya''Tumetumia Kamusi zote hadi za kenya''DHAIFU
kuna njia nzuri nyingi tu kuprove ww SIYO dhaifu!Lakini kunyamaza kwenye mambo yasiyo na ukweli kiongozi hauoni kama kuna walakini?
Hahaaaa wasukuma tunasemaga Tyombana mogangi ndezu๐๐๐kuna njia nzuri nyingi tu kuprove ww SIYO dhaifu!
mfano! wewe kama unajinsia ya mwanamme, MTU akikuita wewe mama! zipo njia nyingi za kumuonesha kwamba wewe SIYO mwanamke! Unaweza kukuna hata ndevu au kutembea kifua wazi; akizidi kukusema Unamwambia twende UKANIBANDUE!..akishoboka kwenda hukohuko ndo unamzibua yeye vizuri kimya kimya akirudi mtaani lazima afute kauli
Inahitaji hali ya juu zaidi ya uvumilivu tofauti na unavyodhania mtoa madaMathalani nianze kwa kuuliza!
Ukiambiwa "wewe ni Malaya" Huwa unajibuje?
Kisayansi neno baya huwa halina nguvu yeyote likipuuzwa! Neno baya hupata nguvu kutokana na linavyopokelewa!
mfano 1. mwanamke akimuita mwanaume Hanithi mbele za watu; Itakuwa na nguvu kutokana na vile mwanammme atakavyojibu
Mfano 2. Ukimuita mwanamke ("we Malaya), halafu mwanamke huyo anajijua ni bikira hana haja ya kuhamaki!
Hata Pierre alivyoitwa Wa hovyo! alivyo kaa kimya ilikuwa na maana kubwa kuliko siku hiyo angehangaika pale kwenda mahakamani kujibu kuwa SIYO WA HOVYO!
Rais Jakaya kikwete aliwahi Itwa ni dhaifu; alicheka tu, lakini kumbe ndiye alikuwa JASIRI NA MWENYE NGUVU
- kwahiyo kunyamaza mda mwingine inamaanisha UJASIRI
- kunyamaza ni ishara ya wenye NGUVU (Strong)
- Kunyamaza ni ishara ya HEKIMA etc
Yesu alikubali kudhalilishwa pale msalabani lakini kumbe ndiye alikuwa Mwenye NGUVU
SPIKA ndugai na bunge lake walipoambiwa kuwa ni dhaifu, kitendo KUPANIKI ni ishara ya kudhibitisha UDHAIFU Mkubwa;
ISHARA YA UDHAIFU HUBABISHWAJE?;
- kama wanafanya mambo yao vizuri wanaanzaje KUPANIKI?
Hasira au jaziba za kila wakati husababiswa na yafuatayo;
Tunashauriwa kushighulika na hayo kumi kuepukana na UDHAIFU
- Kujihami kwa uongo,
- magonjwa ie; Ukimwi>presha,kisukari,tb, magonjwa ya moyo n.k
- kuficha jambo baya (usiri)
- Kulazimisha Sifa zisizostahili
- Ulimbukeni
- Ushamba
- Ulevi
- Elimu duni
- Kutokuwa na malengo
- Kukosa UPENDO
kuchomeka nguzo.kazi za zege na kuponda mawe au?
ndo nguvu zenyewe hizoInahitaji hali ya juu zaidi ya uvumilivu tofauti na unavyodhania mtoa mada
Love and peace
wanyaturu wanasema Munhyoo wako!Hahaaaa wasukuma tunasemaga Tyombana mogangi ndezu๐๐๐
Iweeeee munyio munyokhweeeee๐๐๐๐wanyaturu wanasema Munhyoo wako!