Jinsi ya kufanya mapenzi usiku!

Jinsi ya kufanya mapenzi usiku!

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,694
1.Oga maji ya baridi kisha ingia chumbani,
2.Zima Tv&Redio ili upate utulivu zaidi,
3.Kaa/lala kitandani,
4.Vaa under wear,kisha funika kifua chako na shuka..
5.Chukua Biblia soma Yohna3:3------
6.Funika Biblia yako omba na ulale.
Fanya hivyo kila siku sababu Yesu ni mwema.
Asante kwa muda wako.
Kama nisingetumia neno MAPENZI Ungepuuzia ujumbe huu,
sitaki uikose mbingu,Mungu anakupenda sana.
Tafadhali Sema ''AMINA''🙏🙏🙏🙏
 
Nawangoja wanaokomenti kisa kichwa cha uzi bila mwili
 
Sasa nivae andwea na mke wangu ntazaa naye vipi? Watoto bwana embu laleni huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom