Kivuli cha umauti ndani ya nyota yako 🍀Jinsi nyota yako inavyoibiwa na Kuchanjwa chale ya ushetani na kafara🍇
Kuchanjwa chale ni moja ya ubada ya kufanya kafara na maagano usiyoyajua maana kitendo cha kuchanjwa chale ni ishara ya kusimika antena ndani yako na kuuza nafsi.
Unapochanjwa chale ni ishara ya kusimika minara ndani yako ambapo unaweza kufuatiliwa popote na wachawi ama wakati mwingine ukichanjwa chale na mtaalam tambua anataka mawasiliano yako kiroho ili akufuatilie popote pale ili kila unalofanya alivuruge ili kesho na keshokutwa urudi kwake.
Kama umechanjwa chale hakikisha unajitoa katika hayo maagano mabaya kwani maagano haya yanapelekea wewe kuibiwa kila kitu chako na kibaya zaidi chale inaweza tumika kufanya lolote ndani yako ikiwa ni pamoja na kukugombanisha na watu na wakati mwengine kukutia nuksi.
Chale ndani yako inasababisha mambo yako kutofanikiwa na mwishowe utarudi kwa mtaalam wako sababu umeuza nafsi yako kwa hiari yako mwenyewe kwa kukubali kuchanjwa chale ambayo ni ibada ndani yako ya maagano mabaya.
Whatsapp +2556710452826
Ubovu wa nyota ni janga kubwa kwa kila mtu ambaye anatatizo la nyota kwani nyota mbovu asilimia kubwa huvuta laana za nafsi zinazozagaa katika dunia hii ikiwemo roho za kishetani na majini mwishowe ndoto mbaya huja ndani yako.
Nyota ni matumaini yaliyofungwa ndani yako na katika hayo matumaini kumefungwa muda na katika huo muda kuna kila taarifa ya maisha yako yote kuanzia ulipozaliwa hadi siku utakayokufa kila kitu kimewekwa humo na hii ndiyo dira yako.
Unajua muda katika nyota unafanyakazi gani🔅...
Kama unapendelea masomo haya jiunge whatsapp katika kundi letu bonyeza link
NGUVU ZA KIROHO NA TIBA ASILI
Kazi ya muda katika nyota ni kubalance matukio yaliyomo katika nyota yaani ni wakati gani tukio hili litokee hivyo muda huthibiti nyota yako, kiufupi kila unalofanya hapa Duniani huthbitiwa na muda ambao ndiyo kiingozi mkuu..
Watu huamini nyota hutibiwa na waganga wa tunguli walakini nyota ni zaidi ya tukio kubwa katika ulimwengu wa kiroho ambalo linahitaji taaluma kubwa ya mtu mwenye uwezo wa nguvu za kiroho ili aweze kulifanya kwa ukamilifu.
.....Tutazame yaliyomo katika ulimwengu wa kiroho.....
Juu kabisa katika ulimwengu wetu wa kiroho kuna Jua la kiroho liitwalo Logos hili Jua huyeyusha matukio yote yaliyomo katika nyota ili yatelemke kwenda mwilini.
Kutoka katika Jua la kiroho kuja chini kuna muda ambao ni kama miale na imeumbwa kwa umbo la duara hii miale ni kama muda ama chujio na ndani ya hii miale ya muda kuna nyota na kila tukio lililomo katika nyota hucheketwa na miale ndiyo maana kila mtu anao wakati wa kufanikiwa
Nyota mbaya huleta majini ndani yetu sababu hufanya majini yakimbilie ndani yetu yakitafuta hifadhi na kutuleta karibu na vifungo ama laana.
whatsapp +2556710452826
Sasa basi Jua la kiroho linapoyeyusha yaliyomo katika nyota basi muda huchekecha na wakati muda unachekecha kitu cha kwanza kukipata wewe duniani ni ndoto na ndoto huja kama makapi ili uweze kutambua ni tukio gani linakuja kwako na upate kujiandaa ili uwe na uwezo wa kuifanyiakazi
Huo ndiyo mlolongo wa nyota na hakuna tiba ya nyota bila miale hivyo nyota huitaji kuchanjwa chale wala kupewa dawa za kuogea au kunywa bali itatibiwa kwa miale na nyota itatazamwa kwa kutumia alama za mkononi tu na itaangaliwa siku ukiyozaliwa ili kujua ishara gani ilitokea ndani yako na hii ishara inakuja kwa muundo wa rangi hivyo lazima uwe na utambuzi kujua rangi i kwamba rangi hii inabeba nini.
Nyota inabeba uhai wako toka unapozaliwa hadi utakapokufa.
whatsapp +2556710452826
Nyota hujiunda ndani ya ulimwengu wa kiroho na hapo yanawekwa matumaini yako yote yaani safari zako zote za maisha huandikwa hapo hivyo nyota ya mwanadamu si kama nyota za angani hapana bali nyota ya mwanadamu ni matumaini yaliyoandikiwa ndani yako na haya matumaini pale yanaponyooka tunasema nyota imewaka na kama hayo matumaini hayatakwenda vyema tunasema nyota haijawaka.
Lakini pia ndani ya haya matumaini kunaweza vamiwa na majini ama wachawi ambao huja kuvuruga matumaini yako na kupokonya taji lako uliloandaliwa na muumba wako.
Mara nyingi watu wabaya wanaweza kuiona nyota ya mhusika lakini wasiweze kuivamia ila wanachifanya watahitaji wapate kitu chochote chako kama kucha, nywele, damu, manii na vingenevyo, hivi vitu vinaweza kutumika kuivamia nyota ya mhusika sababu vinabeba element zake za uumbaji.
Kuna uhusiano mkubwa wa nyota na damu na kama tujuavyo damu ni uhai hivyo inapoathirika nyota basi hata uhai wako unakuwa mashakani na ndipo hapo mtu anaweza kukupandikiza magonjwa ya kichawi mfano ugonjwa wa uti wa mgongo usiopona na kila ukienda kupima unaambiwa ugonjwa hauonekani.
whatsapp +2556710452826
Wakati mwengine mizimu iliyondani yako inaweza kuibuka ama mizimu ya baadhi ya koo inaweza tumwa na kukuathiri hakika hii ni hatari kwani huvamia ulimwengu wako wa kiroho na kila kitu.
Lakini nyota ikiwa mbovu inaweza kufanya maagano fulani kutoka sehemu nyingine ama unaweza kupandikizwa maagano ya damu na hili huwa ni tukio la kutisha kwani linaumiza nafsi yako ndipo hapo kivuli chako huwekwa katika kaburi na hapo huzuiwa ndoto zako zote huoti na ikitokea umeota basi itaisahau
Karubu tena ndani yetu ujifunze zaidi whatsapp +2556710452826