lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
mkuu wewe ni mvumvi??...anyways maelezo ni mazuri kabisa.
Mpelekeni kwenye maji ya kina kirefu.... Mwacheni hapo akiwa na makasia yake.... Kisha msubirini ufukweni
kuna mahari huko rukwa nilisafiri kwa ngalawa masaa nane sijui kama tena nitakuja kupanda hichi chombo
mkuu atazama bana
Jamani naomba msaada nina ndugu yangu amenunua ngalawa ya kuvulia samaki ila tatizo ni kwamba hajui jinsi ya kuendesha hicho kifaa. sasa kuna mwenye ujuzi na hiki kifaa anijuze hili nimueleze. anataka kujua jinsi ya kuipeleka mbele, kuongeza spidi na kupunguza spidi na kuipaki ufukweni.
kuna mahari huko rukwa nilisafiri kwa ngalawa masaa nane sijui kama tena nitakuja kupanda hichi chombo
unaogopa sana, wenyewe wanaiamini ngalawa kuliko hata meli, na wana sababu zao
1 ngalawa haizami, ikizama waibirua na kufata maji
2 ngalawa una uwezo wa kufunga breki na ukasimama hapo hapo
3 kama utakuwepo upepo, basi ngalawa ina spidi kuliko boti
mkuu kwani kikoje
Hahahaaa, bora wewe ningekua mimi ningekufa kwa presha.Naogopa sana usafiri wa majini.tulikua watu zaidi ya hamsini yaani ukiwa ndani ya chombo maji unaweza ukayashika hivi halafu goma limeinuka kwa mbele utashangaa wimbi hilo linakuja mwongozaji anavyolikwepa sasa kama linazama hivi tukafika mahari watu wakapungua tukaambiwa turudi nyuma ili injini iguse maji sasa mbele kuko juu huku nyuma kupo chini katika masaa nane sikusinzia hata dakika moja ni hofu tu wenyewe wanapiga stori hawana hata wasiwasi nikajisemea bora ningezunguka kwa gari
Hahahaaa, bora wewe ningekua mimi ningekufa kwa presha.Naogopa sana usafiri wa majini.
tulikua watu zaidi ya hamsini yaani ukiwa ndani ya chombo maji unaweza ukayashika hivi halafu goma limeinuka kwa mbele utashangaa wimbi hilo linakuja mwongozaji anavyolikwepa sasa kama linazama hivi tukafika mahari watu wakapungua tukaambiwa turudi nyuma ili injini iguse maji sasa mbele kuko juu huku nyuma kupo chini katika masaa nane sikusinzia hata dakika moja ni hofu tu wenyewe wanapiga stori hawana hata wasiwasi nikajisemea bora ningezunguka kwa gari
dereva wake hukaa nyuma daah nimeipenda sana,ngoja nijifunze nivushe wadada dar -zenjy...