Jinsi ya kudownlod playstore apps bila kulipia

Dah, karibuni sana JF wandugu...!
 
Kwa wale wanaotaka kudownlod playstore apps zozote bila kulipia mnaweza downlod app inayoitwa blackmart serch google
Kinsha install
Harafu tafuta app yoyote ulikuwa unaitaka playstore kupitia blackmart.
Ungeeka japo pcha yake.. maana nikisearch ilo jina naletewa nyingi na cjui ni ip ni download
 
Kwa wale wanaotaka kudownlod playstore apps zozote bila kulipia mnaweza downlod app inayoitwa blackmart serch google
Kinsha install
Harafu tafuta app yoyote ulikuwa unaitaka playstore kupitia blackmart.
Nimeinstall hii app, iko gud sana ila nimeshindwa kupata PRO version ya repost app ya instagram.

I think ulivosema app za bila kulipia ulimaanisha hiz PRO version ambazo inabid ufanye registration kwa visa au master card!!
 
Hizo Hizo mkuu sema zingine ziko na different link ndo maana
 
Kwa wale wanaotaka kudownlod playstore apps zozote bila kulipia mnaweza downlod app inayoitwa blackmart serch google
Kinsha install
Harafu tafuta app yoyote ulikuwa unaitaka playstore kupitia blackmart.
Mkuu mi mbona nadownload lakin bado zinataka update kwa playstore ambayo inakuja ya kulipia
 
Kwa wale wanaotaka kudownlod playstore apps zozote bila kulipia mnaweza downlod app inayoitwa blackmart serch google
Kinsha install
Harafu tafuta app yoyote ulikuwa unaitaka playstore kupitia blackmart.
VP kuhusu window phone zinapatikana VP mkuu
 
Bado unahitajiwa kuzilipia.kifupi ni kuwa hamna tofaut na google play. Mi nlidhan zile za kulipia sasa unazipata na kutumia free. Yaan zimekuwa cracked au unapata serials. But ukidownload bado tena utaambiwa lipia. Otherwise iwe ni trial
 
Hapana mkuu ni free kabisa
 
Nmejaribu mara kadhaa napata appl inayotaka nilipie na kuwa nlishatumia trial before.so niki install moja kwa moja inataka nilipie. Nisaidie nipate splashtop. If yu can help me niipate hiyo application.

Hapana mkuu ni free kabisa
 
Tatizo la blackmart haikupi latest version ya app husika. Mfano latest version kwenye playstore inaweza kuwa ni labda 5.0.1 lakn app hyohyo blackmart utaikuta ikiwa latest version ni 3.9.9.

Shida nyingine ukiacha hizo app za kulipia ukidownload mfano whatsapp kupitia Blackmart siku whatsapp wakitoa update ya app yao uki update kupitia blackmart inagoma kufanya kazi hadi u' uninstall na u' install tena kupitia play store.
 
Back
Top Bottom