D dr lumilo JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 271 Reaction score 68 Feb 2, 2023 #1 Wakuu na wajuvi wa haya maphone naomben msaada jinsi ya kudownload Betpawa kwenye iPhone mana nimehangaika toka asubuhi nimeshindwa.
Wakuu na wajuvi wa haya maphone naomben msaada jinsi ya kudownload Betpawa kwenye iPhone mana nimehangaika toka asubuhi nimeshindwa.
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,340 Reaction score 9,081 Feb 4, 2023 #2 Hakuna mobile app kwa ios unaweza kuiadd kwenye screen for fast access