:A S-eek: hii chai aisee sinywi, na kama ndiyo mke wangu atashangaa namwambia nimeshiba na sinywi chai yake tena!
We hujui chochote, mbona umetufundisha mchemsho wa chai, now dayz tunaweka mchai chai, iliki, mdalasin, na mazaga kibao hiyo ndo chai, yako ni mchemsho
halafu mbona umeweka majani kabla maji hayaja chemka?
inatakiwa maji yachemke kwanza halafu ndo majani
halafu mbona umeweka majani kabla maji hayaja chemka?
inatakiwa maji yachemke kwanza halafu ndo majani
ha ha ha h ha, nimecheka sana.
We hujui chochote, mbona umetufundisha mchemsho wa chai, now dayz tunaweka mchai chai, iliki, mdalasin, na mazaga kibao hiyo ndo chai, yako ni mchemsho
tufundishe na kupika mayai ya kuchemsha asee.dah ndugu kwanza nakupongeza kwa kufuatilia pishi letu...ongera sana pili punguza haraka apa tunanza from simple to complex uwezi kuanza kutembea bila kutambaa... dullao
Aaahaaha mkuu akuna pishi rahisi apa dunianiA.
Kutokana na kutokuwepo na maswali kuhusu pishi letu la chai...
pishi jipya laja sooon...
Maji ya kuoga?
Kutokana na kutokuwepo na maswali kuhusu pishi letu la chai...
pishi jipya laja sooon...