Jinsi ya Kucheck kama simu ina Virus

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,173
Wana JF,

Chini ni mwonekano wa simu ambayo imeathirika na virus, unaweza ukawaondoa manual kwa ktumia software mbali mbali baada ya kuroot simu
 
Wana JF,

Chini ni mwonekano wa simu ambayo imeathirika na virus, unaweza ukawaondoa manual kwa ktumia software mbali mbali baada ya kuroot simu

Nahitaj kuroot techno y3. ...ni app. IP inafaa kuroot kwa hii model
 
[QUOT E=AROON;14621488]Nahitaj kuroot techno y3. ...ni app. IP inafaa kuroot kwa hii model[/QUOTE]

King root
 
Mkuu mimi si mtaalamu wa hizi gadgets. Katika hiyo picha uliyoiweka hapa ni nini kinachoonyesha kuwa kuna virus?
 
Hakuna virus ya android mbali tu ni malware apps unachohitaji no kuziondoa app zote ambazo huzielewi kwenye Simu yako...kisha jizoeshe kutumia Play store kudownload apps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…